FT: CAF Champions league | Semi-Final | 1st Leg | Orlando Pirates 0-0 Pyramids SC | FNB Stadium | 19.04.2025

FT: CAF Champions league | Semi-Final | 1st Leg | Orlando Pirates 0-0 Pyramids SC | FNB Stadium | 19.04.2025

Orlando hana nyumbani au ugenini. Akiwa ugenini ana uwezo wa kukaza na ukikaa kizembe anakufunga hapo hapo kwako
Umemuona yule babu Traore Blati pale kati alivyowavuruga,Ngoja tuone mechi ijayo itakuaje.Ila sijaona maajabu ya Orlando.
 
Umemuona yule babu Traore Blati pale kati alivyowavuruga,Ngoja tuone mechi ijayo itakuaje.Ila sijaona maajabu ya Orlando.
Traore yuko vizuri. Orlando wakienda kurekebisha mapungufu waliyoonyesha hasa upande wa safu ya mbele watakuwa sawa tu. Naamini timu zote mbili wanaenda kutupa game nzuri kama ya kwanza. Yeyote atakayecheza vizuri zaidi avuke!
 
Back
Top Bottom