DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Super Cup ni Orlando Pirates vs Simba SC, Amahoro Stadium. Tuna kisasi naoHawana kitu hao kama kawaida yako 😂 😁 😂
Super Cup ni Orlando Pirates vs Simba SC, Amahoro Stadium. Tuna kisasi naoHawana kitu hao kama kawaida yako 😂 😁 😂
Sio VARPyramids hawatamsahau huyu refa, hasa kocha wao naona anamlalamikia hadi mwisho.
Man of the match ni refa, period.
Binadamu wasikuhizi kwani mna dogo..😂Kisa laki nne mbona hela ndogo mno
Ni upumbavu mkubwa...Pyramids hawatamsahau huyu refa, hasa kocha wao naona anamlalamikia hadi mwisho.
Man of the match ni refa, period.
Kaka unazingua sasa 😂 😂 😂 😂Super Cup ni Orlando Pirates vs Simba SC, Amahoro Stadium. Tuna kisasi nao
Ya kawaida kaka hiyoBinadamu wasikuhizi kwani mna dogo..😂
Huyu refa ni miyeyushoPyramids hawatamsahau huyu refa, hasa kocha wao naona anamlalamikia hadi mwisho.
Man of the match ni refa, period.
Mngeenda CASSisi kutolewa ulikuwa mpango maalumu.
NitakuwepoSuper Cup ni Orlando Pirates vs Simba SC, Amahoro Stadium. Tuna kisasi nao
lala upoze machungu .🤣Huyu refa ni miyeyusho
Mimi nimemkubali, ameusimamia mchezo vizuri akaupa hadhi ya nusu fainali.Huyu refa ni miyeyusho
Waliwapiga lakini ujueWasauzi hamna kitu
😭😭😭😭😭😭lala upoze machungu .🤣
Ni kweli, janja janja hakuna tena. We fikiria mtu anakuwa bingwa kwa bao la mkono😎😎Mimi nimemkubali, ameusimamia mchezo vizuri akaupa hadhi ya nusu fainali.
Hiyo si ya kukosa!Nitakuwepo