Usiseme timu za Tz sema Yanga0-0 ft
Timu za tz zijipange cafcl hakuna mbeleko wala rushwa.
Kwa timu zinavyocheza level ya semi final Hersi na Mangungu wajipange.
Poleni kwa kuchelewa kurekebishwaCookie analewa mapema sana.
Hajui hii game kabisa
Bila kukanusha suala la kulewa mapema?Poleni kwa kuchelewa kurekebishwa
Hata Ulaya watu hulalamikia marefa/VARHuku marefa wananunuliwa
Bora watoke tu la sivyo fainali itakuwa mbovu sanaPirates kama Ndanda fc ya mtwara tu
Sio kweli KiongoziBila kukanusha suala la kulewa mapema?
Sio rahisi kihivyo.Fainali ni Wamisri
Pole sana kaka kwa changamoto ya umeme hapo kwakoSio kweli Kiongozi
Umeme ulikuwa umekatika hapa
Sie hatujui lolote mzeya tunajaza ushuzi tuu humu dunianiAfrica hamna mpira, ni mfano wa mpira ndio hupo Africa, yaani Africa sekta zote Iko nyuma
Hii var tamu sana....inatupeleka kwenye maamuzi sahihi. Inabidi bongo iletwe
Refa alikuwa vizuri hana mbambamba. Ukiona mechi inaisha halafu mwarabu anakupa mkono wakati umewanyima magoli mawili ujue uko vizuri sana.Kumbe Refa alikuwa sahihi wakuu duuh CAF kugumu sana hakuna mbeleko kabisa hahaaa
Huyu mnyarwanda bonge ya refa nashanga sana why haendagi world cup but he is an excellent refereeRefa alikuwa vizuri hana mbambamba. Ukiona mechi inaisha halafu mwarabu anakupa mkono wakati umewanyima magoli mawili ujue uko vizuri sana.
Mkuu tunaomba historia kidogo ya timu yenu tunasikia na nyinyi mlikuwa kwenye haya mashindani?Pole sana kaka kwa changamoto ya umeme hapo kwako
sie tumeishia makundi kakaMkuu tunaomba historia kidogo ya timu yenu tunasikia na nyinyi mlikuwa kwenye haya mashindani?
Tp aliishia hatua gani ?Ndo maana club bingwa dunia timu ya Africa hatujawahi kufika ata semi final
itakuwa huyu hajui kitu na fainali alicheza na Inter Milan na ilikuwa 2010Tp aliishia hatua gani ?