FT: CAF Champions league | Semi-Final | 1st Leg | Orlando Pirates 0-0 Pyramids SC | FNB Stadium | 19.04.2025

FT: CAF Champions league | Semi-Final | 1st Leg | Orlando Pirates 0-0 Pyramids SC | FNB Stadium | 19.04.2025

Kwa mpira huu.Kule kwa farao atakula nyingi au kimoja cha nguruwe biashara iishe.Piramids wanacheza kama wako nyumbani.umaliziaji tu ndo mbovu
Orlando hana nyumbani au ugenini. Akiwa ugenini ana uwezo wa kukaza na ukikaa kizembe anakufunga hapo hapo kwako
 
Haya mashindano yanaanza kupoteza ladha... Ni wazi sasa mcheza kwao analindwa.
Hivyo ni upuuzi mkubwa ..
 
Kwa mpira uliopigwa leo 🙌 Ni level za UEFA CHAMPIONS, Pyramids nimewavulia kofia 🙌
 
Back
Top Bottom