Washapigwa hukuKwa mpira huu.Kule kwa farao atakula nyingi au kimoja cha nguruwe biashara iishe.Piramids wanacheza kama wako nyumbani.umaliziaji tu ndo mbovu
mkono kabisa uleRefa anazingua huyu
mkono kabisa hata bila VARIla ni kweli amefunga kwa mkono
bongo tungehesabu goli tayariAlitupia cha mkono 🤣