Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye namba ya kocha tafadhaliiiNilisema kabla hata mechi haijaanza kwakua nimeshamsoma sana huyo jamaa, unless Phiri asiwe vizuri kimwili ila anastahili kuwa anaanza kuliko Saidoo.
Au wanamuogopa kwasababu ya umri? Hii game inatakiwa walau tutoke na goal tatu, kwa upuuzi wa huyo jamaa sidhani kama kuna kitu cha maana tutafanya.
NakaziaNlAll the best to Tanzania team.
Simba win
Yanga win.
Eid Mubarak.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntiba tangu mechi ya Yanga anakosa utulivu
Sawa, endelea kutupatia raha ya malezi bora kwa Taifa letu la kesho Mama bora wa familia [emoji3].Nimeatamia vifaranga muda huu mkuu [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Achana na Mambo ya utopolo kwenye mechi za wakubwa.Hii mvua imenikumbusha miaka ya nyuma sikumbukii vizuri yanga alicheza na waarabu yanga akawa amewafunga waarabu kama sikosei goli kama 3
Mechi Ili sitishwa Kwa ajili ya mvua............
Mechi ikachezea siku iliyo fuata na yanga wakapoteza.....
Wenye kumbu kumbu ana weza ku share...
Waache tuwanyooshe.Mpaka sasa mwanga wa kupata magoli mawili mengine upo.Kikubwa ni kuendelea kucheza kwa nidhamu kubwa sana.hawa mashabiki wa Wydad wanaanza vurugu tukiwa hapa kwetu, tukienda kwao sijui itakuwaje?🤔🤔
Hua anataka sana mambo yatokee kupitia kwake hivyo mara nyingi anataka kudribo mda mrefu huku kichwa kimeinamaHuyu huwa anaua sana moves, anastahili kutokea benchi.
Ndo maana twatakiwa tuwapige goli nyingihawa mashabiki wa Wydad wanaanza vurugu tukiwa hapa kwetu, tukienda kwao sijui itakuwaje?[emoji848][emoji848]
We nae unajikuta unawajua sana Wydad kuliko wote humu jukwaani, unaonekana juha tu.Kipindi cha pili Raja wanakuwa wabaya sana ,Simba wasiruhusu wasogelee lango .
Unaangalia mpira gani wewe?[emoji23]Kipindi cha pili Raja wanakuwa wabaya sana ,Simba wasiruhusu wasogelee lango .
Kijana unamkubali sana Mayele The KingSafi sana Mzamiru, kama mbele hakufikiki inabidi tu ummuunge mkono Mayele