FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

inonga ana pass accuracy kubwa sana ana uwezo wa kucheza pasi zote unazotaka wew ukitaka ndefu anapiga ukitaka fupi anapiga huyu jamaa ndio beki Bora wa wakati wote aliyewah cheza Tanzania na issue ya kibu kubadilika hii inatoa tafsri taifa letu Lina mfumo mbovu sana wakukuza wachezaji na uchache wa wakufuzu watalamu wa soka nchi yetu ina safari ndefu sana kufika mbali kisoka
 
IMG-20230423-WA0059.jpg
 
Leo ndio mmejua kuwa Wydad ni "team tu" kama Simba sc? Yanu hapo umeogopa tu kuisema hadharani ile kauli yenu ambayo huwa mnaitumia kila Simba Sc ikishinda "imekutana na team mbovu" 😂

Hivi huu unafiki huwa mnautoa wapi?
Wanajikosha
 
Back
Top Bottom