FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

Simba atatoboa kweli robo fainali japo imeshinda ushindi mwembamba Benjamin mkapa??
 
Hii trip ya Morocco lazima tukodi ndege tuingie Casablanca kibingwa, hakuna muda wa kupitia sijui Ethiopia, sijui Dubai. Yanga wameondoka Jumatatu mpaka leo wako njiani hawajafika Nigeria. Wanaungaunga tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni heshima kumfunga bingwa.... halafu wachambuzi wengi uchwara walisema simba anakufa home and away.. Naomba muwe watulivu, hata kama Simba atatoka ila sio kwa aibu kama mlivyodhani, na Wydad wakileta dharau, hawataamini macho yao
Kule kwao tukikazaa mbna tunaweza shindaa.
 
Mchezaji anayeanzia benchi hajawahi kuwa tishio.

Kama ni hivyo basi nao lazima watakuwa waliogopa walipoona sub ya Bocco inafanyika
Umeona mashabiki wa Raja walivyosimamisha mchezo halafu wako away ? nacheki video zao wajamaa wanapiga mpk mafataki na baruti kama Sudan milio ya makombora na kelele zao tu.

Nenda Youtube mimi nimeogopa kumalizia sasa hiyo vibe la kule mchezaji hata kiwango cha Nchimbi au Kyombo anakuwa Messi mtupu.

Situation is terrifying inakuwaje Fifa kuruhusu huu upuuzi wa hawa Mashabiki ,sidhani kama kuna timunduniani inawapata hawa kwa fujo ukiwa mgeni unaweza kukimbia uwanjani.
IMG_20230423_001638.jpg
 
Umeona mashabiki wa Raja walivyosimamisha mchezo halafu wako away ? nacheki video zao wajamaa wanapiga mpk mafataki na baruti kama Sudan milio ya makombora na kelele zao tu.

Nenda Youtube mimi nimeogopa kumalizia sasa hiyo vibe la kule mchezaji hata kiwango cha Nchimbi au Kyombo anakuwa Messi mtupu.
Yap inafahamika waarabu kwenye swala zima la ushangiliaji wametuzidi parefu hilo wala halipingiki.

Ila pamoja na mazingira hayo bado Simba ina nafasi ya kuweza kufuzu endapo wachezaji wote wakijituma na waka clean makosa yao waliyoyafanya leo.
 
Swali lako lingekuwa la maana zaidi iwapo Simba ndiyo ingekuwa imefungwa.
 
Timu zote za michongo zinaishia hatua hii.
Hakuna timu ya mchongo itakayo cheza nusu.
 
Hakuna timu ya mchongo inayocheza Ligi ya Mabingwa
Mimi sijataja Timu ila baadhi ya timu Chache ni za mchongo na zipo CAF champion league na Hazitoboi.
Uko tunapoelekea zinabaki timu za mpira michongo yote hapa ndio mwisho.
 
Mimi sijataja Timu ila baadhi ya timu Chache ni za mchongo na zipo CAF champion league na Hazitoboi.
Uko tunapoelekea zinabaki timu za mpira michongo yote hapa ndio mwisho.
Na kabingwa ka nbc ka mchongo kako shirikisho katafumuliwa mpk huruma
 
Jana tulipoteza nafasi nyingi.
Chama anapooza moves na kile kifupi nyundo Ntiba. Tulikua na goli 3 jana. Kibu ananifurahisha.

Kazi tunayo Casablanca.
 
Back
Top Bottom