Broken boy
Member
- Apr 16, 2023
- 8
- 5
Simba atatoboa kweli robo fainali japo imeshinda ushindi mwembamba Benjamin mkapa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii trip ya Morocco lazima tukodi ndege tuingie Casablanca kibingwa, hakuna muda wa kupitia sijui Ethiopia, sijui Dubai. Yanga wameondoka Jumatatu mpaka leo wako njiani hawajafika Nigeria. Wanaungaunga tu.
Kule kwao tukikazaa mbna tunaweza shindaa.Ni heshima kumfunga bingwa.... halafu wachambuzi wengi uchwara walisema simba anakufa home and away.. Naomba muwe watulivu, hata kama Simba atatoka ila sio kwa aibu kama mlivyodhani, na Wydad wakileta dharau, hawataamini macho yao
Umeona mashabiki wa Raja walivyosimamisha mchezo halafu wako away ? nacheki video zao wajamaa wanapiga mpk mafataki na baruti kama Sudan milio ya makombora na kelele zao tu.Mchezaji anayeanzia benchi hajawahi kuwa tishio.
Kama ni hivyo basi nao lazima watakuwa waliogopa walipoona sub ya Bocco inafanyika
Yap inafahamika waarabu kwenye swala zima la ushangiliaji wametuzidi parefu hilo wala halipingiki.Umeona mashabiki wa Raja walivyosimamisha mchezo halafu wako away ? nacheki video zao wajamaa wanapiga mpk mafataki na baruti kama Sudan milio ya makombora na kelele zao tu.
Nenda Youtube mimi nimeogopa kumalizia sasa hiyo vibe la kule mchezaji hata kiwango cha Nchimbi au Kyombo anakuwa Messi mtupu.
Hii ilikuwa simba na ismailia kama sio 200 basi ni 2001Haikuwa Yanga. Ilikuwa Simba. Na alikuwa anaongoza 2. Match iliyofuata ikawa draw. Nakumbuka ni kati ya 1998 mpaka 2000 hapo. Timu pinzani siikumbuki bali walikuwa waarabu
Yes..Hii ilikuwa simba na ismailia kama sio 200 basi ni 2001
Timu zote za michongo zinaishia hatua hii.
Hakuna timu ya mchongo itakayo cheza nusu.
Mimi sijataja Timu ila baadhi ya timu Chache ni za mchongo na zipo CAF champion league na Hazitoboi.Hakuna timu ya mchongo inayocheza Ligi ya Mabingwa
Uwe unaelewa kwanza ninachosema.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simba inakutesa sanaa, sijui kwann unatesekaa, kwan ni lazima wee utesekee??
Mm nilikuwa Sikubaliani na yoyote anayemdharau KibuTusiwatimue tuzidi kuwapa nafasi. Kama Kibu tungemtimua tungekuwa wapi sasa hivi?
Na kabingwa ka nbc ka mchongo kako shirikisho katafumuliwa mpk hurumaMimi sijataja Timu ila baadhi ya timu Chache ni za mchongo na zipo CAF champion league na Hazitoboi.
Uko tunapoelekea zinabaki timu za mpira michongo yote hapa ndio mwisho.
Kama Yanga leo tunafungwaTimu zote za michongo zinaishia hatua hii.
Hakuna timu ya mchongo itakayo cheza nusu.
Ulitisha sana,na ni kweli alipachika Jean Baleke.Kanuti amepona. Naamini Jini atapachika leo