FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

Wabongo tunapenda kua negative
Samahani mrwanda.
Nilijikuta nimezaliwa mbongo, na siukatai.
Kitu kingine ambacho sifanyi ni kujitia ujinga kua eti simba inaenda kushinda nyumbani kwa Wydad.

Samahani kama mtazamo huu haukuvutii ila ndo mtazamo wangu. Upokee tusubiri second leg.
 
Kabisa kabisa. Nafasi zilipatikana za nzuri zaidi ya 3. Ila ngoja away. Akienda na aproach ile aliopigiwa raja nafasi ipo. Ttzo la simba akiwa uarabuni anafungwa goli zaidi ya moja hasa dakika za mwisho. Hilo robertinho inabd aliangalie. Kwa mtazamo wang mechi ijayo saido aanzie nje chama arudi katikati then kipindi cha pili faida ya saido na enrgy yake ionyeshe angalau manufaa
Nliwaza hivyo kwa Saidoo hata leo, naona kama kuna advantage ya Saidoo kuingia akitokea sub.
 
Leo ndio mmejua kuwa Wydad ni "team tu" kama Simba sc? Yanu hapo umeogopa tu kuisema hadharani ile kauli yenu ambayo huwa mnaitumia kila Simba Sc ikishinda "imekutana na team mbovu" 😂

Hivi huu unafiki huwa mnautoa wapi?
Nimesema hivyo kwa sababu hata Yanga ilishawahi kumfunga Al Ahly (ikiwa ni ya moto kweli kweli) goli 1-0 uwanja wa Mkapa, na kwenye mechi ya marudio kule Cairo na yeye akafungwa 1-0!

Mwisho wa siku Al Ahly alisonga mbele kupitia mikwaju ya penati. Na hapo ni baada ya Said Bahanuzi kukosa penati ya mwisho.

Kwa hiyo historia ya Yanga ingeandikwa iwapo ingeifunga Al Ahly na kufuzu hatua ya robo fainali. Na siyo kwa sababu alimfunga kwenye uwanja wa Mkapa. Bila shaka nimekujibu vizuri.
 
Back
Top Bottom