FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

Mwenye namba ya kocha tafadhaliii
 
Hii mvua imenikumbusha miaka ya nyuma sikumbukii vizuri yanga alicheza na waarabu yanga akawa amewafunga waarabu kama sikosei goli kama 3
Mechi Ili sitishwa Kwa ajili ya mvua............
Mechi ikachezea siku iliyo fuata na yanga wakapoteza.....

Wenye kumbu kumbu ana weza ku share.....

Mfano mvua inge endelea kiasi Cha KUSHINDWA KUENDELEA....
Mfano,
Ingetakiwa ihairishwe mpka siku inayo fuata watamalizia muda ulio Baki au wana Anza upya......
Naombeni ufafanuzi....
 
Kipindi cha pili Raja wanakuwa wabaya sana ,Simba wasiruhusu wasogelee lango .
 
Naona Saidoo analeta ule ujinga wa Okrah, anachokitafuta atakipata..
 
Simba ili apite anatakiwa kushinda zaidi ya goli mbili hapa nyumban mana hawa jamaa kwao ni moto na fitna Itakuwa kubwa.
 
Nyau hawa wanatakiwa wafe 5- tumewapiga moja kipindi cha kwanza kipindi cha pili tunawaongeza 4... waendee wakale haruha kwao huko
 
Achana na Mambo ya utopolo kwenye mechi za wakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…