Kivipi mkuu,kadi za njano mbaka ziwe 3 ndio riskMechi ya marudiano hawa Wydad watacheza kwa tahadhari kwa sababu ya kadi za njano za leo. Hii inaweza kuisaidia Simba.
π¦ Kafanya yakeNImesikia kwa mbali watu wamepiga kelele hayaaaaaa
Bocco ameingia na hirizi ya kumaliza gameDk 88
Baleke nje, Bocco ndani
ohoo kunakitu kitatokea apoDk 88
Baleke nje, Bocco ndani
Potelea mbali muhimu Kwa Mkapa hatoki mtu labda abahatishe[emoji1787][emoji1787]Siyo kwamba wameshamaliza mchezo, na hivyo wakifika Morocco wanatafuta tu sare na kumvua rasmi ubingwa Wydad!!
wadai wanaenda nyatunyatuYanga kesho anafungwa!?