FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

Safi [emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881] yangu
 
Kwa sasa mpira upo dakika za kurudisha kuku bandani...dk 4 zimeongezwa
 
Wydad wanapata freekick...inaokolewa na kuwa counter upande wa pili...Chama vyenga vingiiiii
 
Kwa Mkapa hatoki ✅

Ila sasa kwa margin hii ya magoli, nisiwe mnafiki hata kama mpira unadunda, tumeaga mashindano, kule kwao hiyo Ijumaa watatupiga goli nyingi.

Tujilaumu wenyewe kwakushindwa kuutumia vizuri uwanja wa nyumbani!!

Lakini pia tuna wachezaji wengi wa kigeni ambao wanakula hela ya bure tu. Sawadogo, Okrah, Ouatarra nk

Nashauri wote watimuliwe!!
 
Back
Top Bottom