Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Bado siwezi kuwabeza kabisa Watani kwa matokeo haya, yale ya Al Ismaili yanaweza kujirudia, nani ajuaye? [emoji2960]Kiukweli leo tumekosa mabao 3 ya wazi kabisaa, pale mbele pana uchoyoo wa kupeana nafasi, kila mtu analazimisha kufunga, huyu baleke ashaanza nae tabia za ntibanzokizaa, aambiwe ukweli mapemaaa kabla tabia haijawa kubwa zaidi.
Ila bas tulipofikia tumestahili na inatoshaaa.
[emoji120][emoji120][emoji120]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app