FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

Bado siwezi kuwabeza kabisa Watani kwa matokeo haya, yale ya Al Ismaili yanaweza kujirudia, nani ajuaye? [emoji2960]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Heshima inayobakia kwenye historia ni ile ya kufuzu hatua inayofuata ya nusu fainali. Ila siyo hiyo ya kumfunga Wydad! Maana na yenyewe ni timu tu kama simba.
Leo ndio mmejua kuwa Wydad ni "team tu" kama Simba sc? Yanu hapo umeogopa tu kuisema hadharani ile kauli yenu ambayo huwa mnaitumia kila Simba Sc ikishinda "imekutana na team mbovu" πŸ˜‚

Hivi huu unafiki huwa mnautoa wapi?
 
Leo ndio mmejua kuwa Wydad ni "team tu" kama Simba sc? Yanu hapo umeogopa tu kuisema hadharani ile kauli yenu ambayo huwa mnaitumia kila Simba Sc ikishinda "imekutana na team mbovu" [emoji23]

Hivi huu unafiki huwa mnautoa wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni mnafikii huyo balaaa, yaan anateseka mnoo na simba. Uwiiiiih
 
Kuna dalili kubwa sana za kutoboa nusu fainali. Kule kwao tutawapangia kikosi cha 5-4-1. (1. Ally, 2. Kennedy Juma, 3. Hussein, 4. Onyango, 5. Inonga, 6. Israel 7. Kapombe 8. Nyoni 9. Baleke, 10. Mzamiru 11. Kanoute)
Wapi CHAMA wapi KIBU
 
Sawa..na kitakachotokea huko kwa Abacha kitashangaza zaidi
 
Leo ndio mmejua kuwa Wydad ni "team tu" kama Simba sc? Yanu hapo umeogopa tu kuisema hadharani ile kauli yenu ambayo huwa mnaitumia kila Simba Sc ikishinda "imekutana na team mbovu" πŸ˜‚

Hivi huu unafiki huwa mnautoa wapi?
Hakuna timu mbovu robo fainali, timu zote mbovu zimeshachujwa kwenye makundi.
 
Wydad wamekufa kwa simba lupaso, wakafe tena mechi ya marudio kwao
 
Kama Kaizer Chief aliwahi wapiga kamoja pale pale kwao Kwa nini Simba ishindwe kuwapiga tena kamoja au 0-0. Waidada atatoka atake asitake
 
Sio hao tu

Akpan
Okra
Outtara
Sawadogo
Banda

Wanaotakiwa baki

Inonga
Chama
Sakho
Phiri*
Onyango
Kanoute
 
Ni ujinga Kwa level aloyofikoa Simba kuwa na mentality ya eti kwenda kufungwa kwao sijui wapi..

Kwani Wydad alichokosa Leo ni kipi zaidi ya mashabiki?

Simba anatakiwa akacheze mchezo wa kujitoa na kushirikiana kama Leo ila kina chama,Tibazonkinza na Sakho wapunguze upumbavu wa kukokota Mpira,kupooza na kurudisha nyuma hovyo..

Ikumbukwe Wydad nao wameingia hofu na pia watakuwa na pressure ya mchezo dakikia za Mwanzo au kipindi chote cha kwanza..

Mwisho Simba akikosea akafungwa goli la kwanza anatakiwa atulie aki loose focus ni Nguvu ya Mabasi maana Hawa Jamaa Ili wapate Nguvu lazima watangulie kufunga ila Wakitanguliwa Bado watacheza Kwa Nguvu zaidi maana wao ni wazoefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…