United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
WanajikoshaLeo ndio mmejua kuwa Wydad ni "team tu" kama Simba sc? Yanu hapo umeogopa tu kuisema hadharani ile kauli yenu ambayo huwa mnaitumia kila Simba Sc ikishinda "imekutana na team mbovu" 😂
Hivi huu unafiki huwa mnautoa wapi?
Timu za mchongo hazikufika hata kwenye robo..ziko huko kwa maloozerTimu zote za michongo zinaishia hatua hii.
Hakuna timu ya mchongo itakayo cheza nusu.
Tuliza kishuzi hicho dada mkubwaHeshima inayobakia kwenye historia ni ile ya kufuzu hatua inayofuata ya nusu fainali. Ila siyo hiyo ya kumfunga Wydad! Maana na yenyewe ni timu tu kama simba.
Heshima inayobakia kwenye historia ni ile ya kufuzu hatua inayofuata ya nusu fainali. Ila siyo hiyo ya kumfunga Wydad! Maana na yenyewe ni timu tu kama simba.
LimerudiGoli la kizembe sana
Refa amalize mpira Sasa,malengo yatimie,nimeagiza kinywaji,wakifungana zaidi ya Apo ,inakula kwangu,ntapigishwa deki barLimerudi