Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Kwahiyo mmekaa hapo mnajifariji Simba atamtoa mwarabu!!! Endeleeni kujifariji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na goli bado hatuchezi vizuri sana hasa eneo la kiungoooo
Unaijua simba wewe?? Au unadhani hawa ni utopolo wanachezaKwahiyo mmekaa hapo mnajifariji Simba atamtoa mwarabu!!! Endeleeni kujifariji.
Waoooh let us celebrate madam wayoooo 😂Woyoooooo
Kanoute naona hajawa sawa. Saido naye anatepweta. Lakini kocha atamuacha mpaka dakika zote 90.Pamoja na goli bado hatuchezi vizuri sana hasa eneo la kiungoooo
Baba yenu Manara alishawaambia kuwa mpunguze Polimilai, kwanini mnakuwa wagumu kuelewa?Kwahiyo mmekaa hapo mnajifariji Simba atamtoa mwarabu!!! Endeleeni kujifariji.
Hakuna namna [emoji23]Waoooh let us celebrate madam wayoooo [emoji23]
Shangazi yakeHuyu ni Wydad au huyu ni mjomba wake?
Huyu ni Wydad au huyu ni mjomba wake?
[emoji23]Baba yenu Manara alishawaambia kuwa mpunguze Polimilai, kwanini mnakuwa wagumu kuelewa?