Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hivi Ally Salim ni Mzenji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wydad ndio hawa mbona tunawaweza kabisa ,labda wawe wameficha wachezaji wao
Ndiyo. Ni Mpemba huyoHivi Ally Salim ni Mzenji?
Sad truth is that Mungu hakupi unachotaka anakupa unacho stahiliIfike siku moja Fainali ya mashindano haya makubwa matokeo yawe
YANGA 0 - 3 SIMBA.
Wakiwa huko Morocco wanakuwa aggressive mno.Kama wydad ndio hawa mbona tunawaweza kabisa ,labda wawe wameficha wachezaji wao
Usiseme hivyo mbele ya mnyama simba 😅Hawa Waarabu wanadharau fulani kwa jinsi wanavyocheza.
😀 Mbona kinyongeNaona mmejikaza watani
Hongereni Sana
ALmutarajKocha wa Waydad ilikuwa huyo jamaa anayeingia namba 7 aanzie benchi ?