Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
simba wasijisahau mbuzi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MvuaKipindi cha pili bado Simba haipo aggressive...
Wanacheza slow kama Wydad...
Hawakutegemea hivi, walikuja na majibu ya Raja mfukoniHawa Waarabu wanadharau fulani kwa jinsi wanavyocheza.
Hii game inamfaa uzoefu wa tough game, hujui Wydad wamejaa watu wa ligi ya Spain humoAnaharibu sana mashambulizi sababu mara nyingi anataka kujaribu yeye,ubinafsi unaondoa ufanisi mbele pale ,
DStv tunateleza tuMvua dishi huku no signal
Hatariii lango la Simba...kona