Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namkumbuka kagereYaani Simba wanakosa goli sababu ya kusita kwa washambuliaji...
Kwa huu mpira tunaocheza kule Morocco nahisi tunaweza kupigwa wiki, tukijitahidi itakuwa hamsa
Sijaweka MUNGU popote unamleta wewe.Basi toa Mungu weka Mo Dewji
Hukuhuku naijeria nanunua uzi wenu. Naskia mna mashabiki Afrika mashabiki na Kati mpaka magharibi hukuIna maana hujaenda Nigeria?
No wanaonijua Humu Jamii forum wanaonijua mimi sio shabiki maandazi wala Lia Lia😀 Mbona kinyonge
NImesikia kwa mbali watu wamepiga kelele hayaaaaaa
Siyo kwamba wameshamaliza mchezo, na hivyo wakifika Morocco wanatafuta tu sare na kumvua rasmi ubingwa Wydad!!Ni kama vile kisaikolojia wachezaji wa Simba wameshakubali hapa ndio mwisho wa safari yao.