Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waarabu stage hii kwao hawakuachi hata ufanyeje.Kwa Mkapa hatoki ✅
Ila sasa kwa margin hii ya magoli, nisiwe mnafiki hata kama mpira unadunda, tumeaga mashindano, kule kwao hiyo Ijumaa watatupiga goli nyingi.
Tujilaumu wenyewe kwakushindwa kuutumia vizuri uwanja wa nyumbani!!
Lakini pia tuna wachezaji wengi wa kigeni ambao wanakula hela ya bure tu. Sawadogo, Okrah, Ouatarra nk
Nashauri wote watimuliwe!!
Upigwe kwenye derby uje upigwe na huku?Haya ndio Madhara ya kukamia Derby
Gemu ina matokeo matatu, leo tumeshinda yajayo majaaliwaImagine unaenda kwa Mwarabu, halafu anakuchezesha saa nne usiku! Na lile libaridi la usiku! Ukijumlisha na rekodi mbovu mnapocheza mechi za ugenini!
Dah! Uwezekano wa kusonga mbele, utategemea tu majaliwa ya Mwenyezi Mungu.
Uwepo wa huyo njiti kama mgeni wa heshima umetukosesha ushindi mnono,nuksi sana.
Unadhani hawajui kinachoenda kuwakuta uarabuni?Kwani si yenu mmeshinda au yenu ilikuwa mfungwe ?
Hiyo shio shida yetu,cha muhimu TUMEWAKANDAWaarabu stage hii kwao hawakuachi hata ufanyeje.
Malengo yao yametimia.
Mpira una maajabu yake ,furahia ushindi leo .Kwa Mkapa hatoki ✅