Nimesikia yupo kwenye orodha ya wachezaji ambao wanaenda kuachwa kwenye msimu unaoanzaHuyu Morrison alitajwa jana kwamba hana kitu kwa sababu baadhi ya wachezaji wa hii timu ngeni waliwahi kucheza naye, ila hapa kawaonyesha kuwa siyo Morrison yule aliyepigwa burn bondeni kwa mabida...
Dua la kuku halimpati mweweKwa Madiba mtapigwa kama 3 hivi
Hasira zote za nini bwasheeeeYanacheza kama yanakatika zile nyimbo zao mafala kweli haya.
Najua mwenyewe.Hasira zote za nini bwasheeee
Watumie wembe wa rungu max kujinyolea sehemu mbali mbali π€£π€£π€£π€£Tuendelee kuwahamasisha mashabiki wa simba watumie bidhaa za rungu max kwa afya yao.
Yanacheza kama yanakatika zile nyimbo zao mafala kweli haya.
Acha makasiriko,hapa zinalinganishwa ligiSasa hicho kiherehere cha kuiita underdog mlikuwa mnakitoa wapi?
Yaani kama sio makolo kumwaga madawa yao humo hii game tulikuwa tunampiga mtu zaidi ya tano..
Watruu Weeeuuuuwweeehh!! Kam kama dauwaaaaa wananchi tunagawa doziiiiiiiiiiii Tulieni dawa iwaingieeeeeππ€π€π€π€π€!!Tunaelekea bondeni
Kule hamtokii
Sina nenoKuna utofauti wa kushinda na kushinda ili ufuzu.
Mechi hii Yanga kushinda ni rahisi sana ila matokeo ya nd leg ndio yatayoamua.
Sema watani kuna mganga mpya mmempata ila ndo hamtaki na sisi tumjue
Acha kuwa muongo.Kipindi cha pili Yanga watabadilika hamtaamini hawa jamaa inawezekana kweli huwa kuna kitu wanfanya wakiingia vyumbani nimeafatilia mechi nyingi zao wanenda bila bila half time wakirudi wanabadilika sana sio bure hapa [emoji16][emoji16][emoji16]
Vice versa is true vi timu vilivyo anzishwa na magenge ya uhalifu tena 2016 magu aningia madarakani siyo rais kupenya hyo fainaliNiwakumbushe tu utopolo, first half kule Sauzi mtakula tatu, second half mtakula mbili..
Jamaa wanajua naamini hata nanyi mmeona hilo, huo utani waliouleta hapa kule kwao utaenda kugeuka kilio kwenu, Jumatano ijayo sio mbali tukutane hapa.
Inawezekana kabisaa maana majamaa yanaupigaGallants Walisha Fungwa Ugenini Mbili Wakashinda 3 Bila [emoji23] Nyumbani