FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

Huyu Morrison alitajwa jana kwamba hana kitu kwa sababu baadhi ya wachezaji wa hii timu ngeni waliwahi kucheza naye, ila hapa kawaonyesha kuwa siyo Morrison yule aliyepigwa burn bondeni kwa mabida...
Nimesikia yupo kwenye orodha ya wachezaji ambao wanaenda kuachwa kwenye msimu unaoanza
 
Yanacheza kama yanakatika zile nyimbo zao mafala kweli haya.
50 cent.gif
 
Kipindi cha pili Yanga watabadilika hamtaamini hawa jamaa inawezekana kweli huwa kuna kitu wanfanya wakiingia vyumbani nimeafatilia mechi nyingi zao wanenda bila bila half time wakirudi wanabadilika sana sio bure hapa [emoji16][emoji16][emoji16]
Acha kuwa muongo.
Kwanzia hatua ya makundi mechi zote Yanga kaenda mapumziko akiwa anaaongoza magoli katika uwanja wa Mkapa. Isipokuwa mechi dhidi ya Rivers united peke yake ndio Yanga kaenda mapumziko pasipo goli.
 
Niwakumbushe tu utopolo, first half kule Sauzi mtakula tatu, second half mtakula mbili..

Jamaa wanajua naamini hata nanyi mmeona hilo, huo utani waliouleta hapa kule kwao utaenda kugeuka kilio kwenu, Jumatano ijayo sio mbali tukutane hapa.
Vice versa is true vi timu vilivyo anzishwa na magenge ya uhalifu tena 2016 magu aningia madarakani siyo rais kupenya hyo fainali
Mark my words
 
  • Thanks
Reactions: 511
Back
Top Bottom