FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

Asante Hanga mitaongea sana baada ya sec leg kule kwao
 
Wale wa mafichoni leo wametokezaaaa
Wapi mwana yanga kindakindaki Bantu Lady nitakupongeza tuu ikiwa mtabeba ubingwa..maaana hata sisi kwa level hii tulishaipitia 🙂🙂🙂
Uliipitia kwenye mashindano gani kombe hili limeanzishwa elfu mbili na tatu(2003) na toka lianzishwe hakuna timu yoyote kutoka Tanzania ambayo ilishacheza hatua ya nusu fainali.
Ni yanga tu kwa huu msimu Sasa wewe ulipitia hii hatua kwenye mashindano gani labda?
 
Rudi kwny historia au mmejisahaulisha nyie ni mabingwa wa historia..
Limeanzishwa au limebadilishwa jina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…