FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

Rudi kwny historia au mmejisahaulisha nyie ni mabingwa wa historia..
Limeanzishwa au limebadilishwa jina?
Sio kubadilishwa jina haya mashindano hayakuwepo kabla ya 2003.
Mashindano haya ni mapya na yametokana na kuunganishwa kwa mashindano mawili ambayo ni kombe la CAF na kombe la washindi Africa sasa mrembo wewe ni lini ulifika hatua hii na Simba yako kwenye mashindano haya ya shirikisho tuanzie hapa.?
 
Uwiii Yanga nawagawa bure kabisa 😂😂😂😂😂😂
Kuna mtu hapo juu, kasema dhambi za Nabi apewe Onyango na madunduka wote 😆😆😆😆🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Hoja nzuri kama hii kwa nini isiungwe mkono na kila binadamu mwema?
Screenshot_20230510_190131_Chrome.jpg
 
Rudi kwny historia au mmejisahaulisha nyie ni mabingwa wa historia..
Limeanzishwa au limebadilishwa jina?
Halikubadilishwa jina mama,ni kombe kipya baada ya kufutwa CAF cup ambayo Simba wakifika final na CAF winner's cup,Kisha likaletwa confederation cup ndiyo Hilo,ni UEFA walifuta UEFA cup wakaleta Europa na conference,ni makombe mapya
 
Back
Top Bottom