DreezyD98
JF-Expert Member
- Nov 6, 2020
- 1,610
- 2,874
Akibisha na hapo kweli huyo dunduka takabifuHalikubadilishwa jina mama,ni kombe kipya baada ya kufutwa CAF cup ambayo Simba wakifika final na CAF winner's cup,Kisha likaletwa confederation cup ndiyo Hilo,ni UEFA walifuta UEFA cup wakaleta Europa na conference,ni makombe mapya