FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

KWa shamrashamra hizi mitaani... madunduka wanatamani Yanga ingekuwa ya Wakenya 😄😄😄
20230510_190808.jpg
 
Makolo wanawewesekajeee leooi😂😂😂🤭!
Hatariiiii jamàa kabaki kuonyesha vidole tu eti Gallants wamefika golini Mara 4 sijui wamepata offside tukamuuliza wamepata goli akadakia ndio tukamuuliza goli lipi anasema goli la offside tukamcheka jamàa haamini anakomaa ooho kwao watashindwa tukamwambia tulia uje uchanganyikiwe kwa Mara ya Pili 😆 anasema ooho Yanga wamefika golini kwa Gallants Mara 9 Ila on target 4 tukamuuliza wamepata goli hawajapata goli anasema mmepata goli 2 tukamwambia basi tulia uje usimulie na second leg 😁
 
Yanga wamesababisha Mashabiki wa Simba kuwa ndiyo Mashabiki wanaoongoza kushabikia timu nyingi zaidi katika michuano ya CAF mwaka huu.
Kama hapa tayari wameshatangulia fainali kusubiri timu itakayovaana na Yanga ndiyo waishabikie.
Nina uhakika Yanga watakapochukua Kombe bado watasema hawatafika nalo nchini😄.
 
Back
Top Bottom