FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

Mayele ana kimuhemuhe cha kushinda kiasi ambacho anakosa utulivu mbele ya lango.
 
Kipindi cha kwanza kikiisha bila Yanga kufunga watakuwa wamejiweka wao kwa wao kwenye wakati mgumu

Ushindi wa jioni sio mzuri mara nyingi huambatana na goli 1
 
Kocha atutolee huyo Morocco hamna mchezaji mule

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…