Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu,yani cjui anampendea nini huyuKisinda ana ujamaa na kocha wenu nini?
Kocha atutolee huyo Morocco hamna mchezaji muleMabingwa wa Tanzania, Dar es Salaam Young Africans maarufu kama Yanga, jioni ya leo watashuka dimbani uwanja wa Benjamini Mkapa kupambana na timu ya Marumo Gallants ya kutoka Afrika ya Kusini katika mechi ya nusu fainali ya kombe la Shirikisho hatua ya kwanza
Mechi hiyo itayochezwa saa kumi ya jioni, itakuwa ni muhimu kwa Yanga kupata ushindi mzuri kabla ya kwenda nchini Afrika Kusini kwa ajili ya mechi ya marudiano
Nitakuwa nawe katika kufuatilia na kuhabarisha kile kitakachokuwa kinajiri kwenye dimba la Mkapa jioni hiyo
Mungu Ibariki Yanga, Mungu ibariki Tanzania