Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Naangalia game ya Asec vs USm Alger game yamoto sana uto hata mkipita kazi ipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushatekwa nyara?ngoja dada yao niwawakilishe 😄 😄 😄 😄 😄
Real Madrid ana UEFA ngap mkuu?Halikubadilishwa jina mama,ni kombe kipya baada ya kufutwa CAF cup ambayo Simba wakifika final na CAF winner's cup,Kisha likaletwa confederation cup ndiyo Hilo,ni UEFA walifuta UEFA cup wakaleta Europa na conference,ni makombe mapya
Sijawahi kuwa Makolo.
Hongereni Mtani...OKW BOBAN SUNZU mwenye Avatar ya Mo umepotea bana...
Kambi ya Fisi Bill Mtoto halali na hela Scars Greatest Of All Time Kalpana Shunie Makiwendo Wana simba wooteee JF mje tushangilie ushindi wa Taifa [emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aahaaaa
Sawa marehemu sheikh yahayaKwa mpira huu wa asec na hawa algeria ninao uona hapa itoshe tu kusema safari ya jangwani imeishia hapa.poleni sana na hongereni kwa kucheza nusu fainali.
Makinikia ya plea bargain alizoacha yule fisadi wa kihutu bado zipo ikulu,kumbuka zilikuwa ni hard cashfedha hizi anatoa fungu gani
Itauiwa vote 20.fedha hizi anatoa fungu gani
Imeisha hiyoMatokeo ni 2-0 Ila sijajua nani atashinda
Baleke baloko bulukuBaleke angejipigia hat trick
Hapana haitatokeaUshatekwa nyara?
Hapo sawaHapana haitatokea
Hao warembo wa kusubiria timu ifunge ndo waje kushangalia...wangekua Simba msimu huu wangekufwaaa...