Michuano ambayo Kuna timu ilishiriki hadi kuchoma uwanja wa watu kisa ushirikina na bado wakala za usoJamani mimi nilikuwa nanjilinji kulima ufuta na yanga wakati natoka alikuwa klabu bingwa na kwa ninavyofahamu mechi za klabu bingwa zimeisha jana.
Sasa uto leo anacheza michuano gani na kule klabu bingwa baada ya kumtoa zalan ilikuwaje?
Kwahiyo ukipokuwq unaandika matapishi yako ulikuwa na akili zako timamu au ulikuwa umevuta bange na unga?. Kabla ya kauli yako hukujui kuwq mazembe hamna timu?. Dada acha wivu wa ki-Uke wenza!.Mazembe hamna timu hapo hata Namungo angejipigia nje ndani
Vipi mtani? Mbona unaongea maneno hayaeleweki, kama vile unanena kwa lugha? Au ndio kuvurugwa na matokeo ya wananchi?Mazembeee kibondeee lol maskini...kumbe hawa waganda wako vzr mpk kutoka droo na Raja...nimeamini Yanga kapewa kundi mserereko...
Kwahiyo unataka kumaanisha kuwa aliyefungwa nje ndani na Raja ni mbovu zaidi ya vipers? Mpira hauna formula ya namna hiyoMazembeee kibondeee lol maskini...kumbe hawa waganda wako vzr mpk kutoka droo na Raja...nimeamini Yanga kapewa kundi mserereko...
Kwanza goli lenyewe bayaNasikia kimoja huko
Kama hauja wahi mfunga Mazembe hata kwenye bonanza kaa kimyaYaani kumfunga kibonde kama Tp mazembe ni mpaka awe pungufu [emoji23]
Ndugu Mbumbumbu aggregate inatumika kwenye makundi in case kuna tie katika points, na goal differenceUnataka tubishane na hili? Kiufupi aggregate inatumika kwenye hatua za mtoano unless unataka kufosi jambo lako.
Mkikosaga hoja mnaokoteza okoteza vihoja ili tu mpate cha kusema.
Sindo kombe hili ambalo mliwasha moto uwanjani mkatozwa faini na CAFUnatuletea updates za kombe la mbuzi halafu unatuambia stay tuned!, nani ana muda huo[emoji41][emoji41][emoji41]
Kwa hiyo Raja na Simba wame tie katika points na goal difference hadi mnaleta vihoja vya aggregate? Nyie watu, dah.Ndugu Mbumbumbu aggregate inatumika kwenye makundi in case kuna tie katika points, na goal difference
Wakati wenzako walikua wanaenda shule asubuhi wewe unasema kuna baridi mateso yake ndio hayaKwa hiyo Raja na Simba wame tie katika points na goal difference hadi mnaleta vihoja vya aggregate? Nyie watu, dah.
Sio tu Tp Wazembe,Hata TP wajanja(aka Waarabu😂.Tuliwanyorosha na kupindua meza,na kufanya comeback🤔)
Imagine Furaha hii mnayoipata... Wanamsimbazi Wamekuwa Wanaipata karibia Miaka 6 iliyopita Mtawalia(mfululizo)..!Hongera sana kwetu WANANCHI, hongera kwa wachezaji wetu, hongera kwa benchi la ufundi, hongera viongozi wote wa timu pamoja na mdhamini wa klabu kwa moyo wao wa dhati kwa kujitolea na kuhakikisha WANANCHI wanapata furaha.
Hapo tusemeje,Thimbaa/simba kachakatwa au🏃🏃Wanaoshiriki club bingwa wamepigwa tatu usiku usiku, tunaamka asubuhi tunaambiwa kuna supu ya Simba.
Hizo ni shida zakoImagine Furaha hii mnayoipata Wanamsimbazi Wamekuwa Wanaipata karibia Miaka 6 iliyopita Mtawalia(mfululizo)..!
Kwaiyo ilipo Simba mnatakiwa mfunge ' Bakuli' lenu Kbs...!
Ana maanisha,kupigwa nje,ndani sio mchezo,sio tu akina Tp kunguru wa Lubumbashi,ila hata waarabu anuai,iwapo hata akina Raja mnao waogopawatajichanganya/jileta kwa wananchi watakaa mapeeema Asubuhi 😂😂😂Kwa lipi ?
Sio kafufuka anatuma taarifa kuwa tarehe yakuwachakata simba na kuwa kitoweo ipo karibu🤸🤸Ulipotea kidogo, Naona umefufuka sasa.😁
Mazembe kapigwa nje ndani wamuita kibonde, Simba kapigwa nje ndani na Raja nae kibondee au sio 😊😊Mazembeee kibondeee lol maskini...kumbe hawa waganda wako vzr mpk kutoka droo na Raja...nimeamini Yanga kapewa kundi mserereko...