FT: CAF Confederation Cup | TP Mazembe 0-1 Yanga | Stade Tp Mazembe | 02.04.2023

FT: CAF Confederation Cup | TP Mazembe 0-1 Yanga | Stade Tp Mazembe | 02.04.2023

Jamani mimi nilikuwa nanjilinji kulima ufuta na yanga wakati natoka alikuwa klabu bingwa na kwa ninavyofahamu mechi za klabu bingwa zimeisha jana.

Sasa uto leo anacheza michuano gani na kule klabu bingwa baada ya kumtoa zalan ilikuwaje?
Michuano ambayo Kuna timu ilishiriki hadi kuchoma uwanja wa watu kisa ushirikina na bado wakala za uso
 
Mazembe hamna timu hapo hata Namungo angejipigia nje ndani
Kwahiyo ukipokuwq unaandika matapishi yako ulikuwa na akili zako timamu au ulikuwa umevuta bange na unga?. Kabla ya kauli yako hukujui kuwq mazembe hamna timu?. Dada acha wivu wa ki-Uke wenza!.
 
Mazembeee kibondeee lol maskini...kumbe hawa waganda wako vzr mpk kutoka droo na Raja...nimeamini Yanga kapewa kundi mserereko...
 
Mazembeee kibondeee lol maskini...kumbe hawa waganda wako vzr mpk kutoka droo na Raja...nimeamini Yanga kapewa kundi mserereko...
Vipi mtani? Mbona unaongea maneno hayaeleweki, kama vile unanena kwa lugha? Au ndio kuvurugwa na matokeo ya wananchi?
 
Mazembeee kibondeee lol maskini...kumbe hawa waganda wako vzr mpk kutoka droo na Raja...nimeamini Yanga kapewa kundi mserereko...
Kwahiyo unataka kumaanisha kuwa aliyefungwa nje ndani na Raja ni mbovu zaidi ya vipers? Mpira hauna formula ya namna hiyo
 
Unataka tubishane na hili? Kiufupi aggregate inatumika kwenye hatua za mtoano unless unataka kufosi jambo lako.

Mkikosaga hoja mnaokoteza okoteza vihoja ili tu mpate cha kusema.
Ndugu Mbumbumbu aggregate inatumika kwenye makundi in case kuna tie katika points, na goal difference
 
Unatuletea updates za kombe la mbuzi halafu unatuambia stay tuned!, nani ana muda huo[emoji41][emoji41][emoji41]
Sindo kombe hili ambalo mliwasha moto uwanjani mkatozwa faini na CAF
 
Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    32.4 KB · Views: 1
Ndugu Mbumbumbu aggregate inatumika kwenye makundi in case kuna tie katika points, na goal difference
Kwa hiyo Raja na Simba wame tie katika points na goal difference hadi mnaleta vihoja vya aggregate? Nyie watu, dah.
 
Hongera sana kwetu WANANCHI, hongera kwa wachezaji wetu, hongera kwa benchi la ufundi, hongera viongozi wote wa timu pamoja na mdhamini wa klabu kwa moyo wao wa dhati kwa kujitolea na kuhakikisha WANANCHI wanapata furaha.
Imagine Furaha hii mnayoipata... Wanamsimbazi Wamekuwa Wanaipata karibia Miaka 6 iliyopita Mtawalia(mfululizo)..!
Kwaiyo ilipo Simba mnatakiwa mfunge ' Bakuli' lenu Kbs...!
 
Kwa lipi ?
Ana maanisha,kupigwa nje,ndani sio mchezo,sio tu akina Tp kunguru wa Lubumbashi,ila hata waarabu anuai,iwapo hata akina Raja mnao waogopawatajichanganya/jileta kwa wananchi watakaa mapeeema Asubuhi 😂😂😂
 
Back
Top Bottom