FT: CAF Confederation Cup | TP Mazembe 0-1 Yanga | Stade Tp Mazembe | 02.04.2023

Jamani mimi nilikuwa nanjilinji kulima ufuta na yanga wakati natoka alikuwa klabu bingwa na kwa ninavyofahamu mechi za klabu bingwa zimeisha jana.

Sasa uto leo anacheza michuano gani na kule klabu bingwa baada ya kumtoa zalan ilikuwaje?
Ndio maana akili zako zimeanza kuwa ki-ufuta ufuta.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Kolo yeyote akijibu hili swali mnitag na aweke namba yake ya simu nimtumie afutatu ya futari..
Huko Simba ameshatoka, siyo level yake tena na harudi tena.

Level ya Simba SC ni Klabu bingwa tu.


Mnyama anadili na Klabu Bingwa na Super Cup kwa ngazi ya kimataifa.
 
Leo koloz wanalala na kigagaziko. Fukuto la roho mana tunapeleka moto katikati ya miuno ya kikongo mpaka tunakata shanga.
Kila la her Young Africans
 
[emoji599] OFFICIAL: Kikosi cha YANGA kinachoanza dhidi ya TP Mazembe

[emoji1241] Metacha
[emoji1241] Job
[emoji1078] Lomalisa
[emoji1241] Bacca
[emoji1241] Mwamnyeto
[emoji1078] Bangala
[emoji1241] Mudathir
[emoji1241] SureBoy
[emoji1078] Moloko
[emoji1268] Musonda
[emoji1078] Mayele

#TotalEnergiesCAFCC
 
Kikosi safi ila kukosa Aucho hapo kati huwa panapwaya kidogo ila sio kesi ushindi lazima
 
Wananchi wa πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ’šπŸ’› tunasubiria furaha tu. πŸ’ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…