FT: CAF Confederation Cup | TP Mazembe 0-1 Yanga | Stade Tp Mazembe | 02.04.2023

FT: CAF Confederation Cup | TP Mazembe 0-1 Yanga | Stade Tp Mazembe | 02.04.2023

Jamani mimi nilikuwa nanjilinji kulima ufuta na yanga wakati natoka alikuwa klabu bingwa na kwa ninavyofahamu mechi za klabu bingwa zimeisha jana.

Sasa uto leo anacheza michuano gani na kule klabu bingwa baada ya kumtoa zalan ilikuwaje?
Ndio maana akili zako zimeanza kuwa ki-ufuta ufuta.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Kolo yeyote akijibu hili swali mnitag na aweke namba yake ya simu nimtumie afutatu ya futari..
Huko Simba ameshatoka, siyo level yake tena na harudi tena.

Level ya Simba SC ni Klabu bingwa tu.


Mnyama anadili na Klabu Bingwa na Super Cup kwa ngazi ya kimataifa.
 
Wa wa wananchiiiiiii! Kila la kheri timu ya wananchi, Timu Bingwa ukanda wa mashariki na kati, Timu inayoongoza Ligi zote za nyumbani na ugenini, Timu iliyochukua makombe yote nyumbani na hili linaenda kuchukuliwa! We are Champuons! Dar young Africans! Daima mbele! I love you Yanga!.
Leo koloz wanalala na kigagaziko. Fukuto la roho mana tunapeleka moto katikati ya miuno ya kikongo mpaka tunakata shanga.
Kila la her Young Africans
 
[emoji599] OFFICIAL: Kikosi cha YANGA kinachoanza dhidi ya TP Mazembe

[emoji1241] Metacha
[emoji1241] Job
[emoji1078] Lomalisa
[emoji1241] Bacca
[emoji1241] Mwamnyeto
[emoji1078] Bangala
[emoji1241] Mudathir
[emoji1241] SureBoy
[emoji1078] Moloko
[emoji1268] Musonda
[emoji1078] Mayele

#TotalEnergiesCAFCC
 
Kikosi safi ila kukosa Aucho hapo kati huwa panapwaya kidogo ila sio kesi ushindi lazima
 
Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
[emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617]
[emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350]

Uchambuzi utafata baadae....
Kumbuka mechi hii itaanza saa 10:00 jioni

Stay tunedView attachment 2573714
Wananchi wa 🇹🇿 💚💛 tunasubiria furaha tu. 💪
 
Back
Top Bottom