permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Ndio maana akili zako zimeanza kuwa ki-ufuta ufuta.Jamani mimi nilikuwa nanjilinji kulima ufuta na yanga wakati natoka alikuwa klabu bingwa na kwa ninavyofahamu mechi za klabu bingwa zimeisha jana.
Sasa uto leo anacheza michuano gani na kule klabu bingwa baada ya kumtoa zalan ilikuwaje?
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app