FT: CAF Confederation Cup | TP Mazembe 0-1 Yanga | Stade Tp Mazembe | 02.04.2023

Hawa vibonde wa ligi ya mabingwa kama Vipers wameshindwa kufungana kweli
 
Kwa hiyo watu mko serius kabisa mnaangalia mechi ya losers wawili?

Acheni utani wote tunajua Aprili fool haina boxing day
Kwa kweli. Sijui Yanga wamenloga maana sielewi naangalia nini ni mwili ni mzito kunyanyuka
 
Hili ni kombe la losers .Mmelifanya kuwa kombe kuuuuuuuuuubwa!!! Wanaoshiriki klabu bingwa wao wasemeje?
 
Kwani kuna timu imewahi kuifunga Yanga mara nyingi zaidi ya Simba?
Timu kibonde ni timu iliyonyanyaswa zaidi pale timu mbili zilipokutana. Nadhani ndio maana yake na huo ndio ukweli mchungu kwako na wanasimba wote
 
Naam kipindi cha pili kimeanza na kama mnavyoijua Yanga mnajua nini kitakachotokea
 
Timu kibonde ni timu iliyonyanyaswa zaidi pale timu mbili zilipokutana. Nadhani ndio maana yake na huo ndio ukweli mchungu kwako na wanasimba wote
Kibonde ni pale huyo kibonde hajawahi kukufunga ila uwiano wa mshindi kwenye mechi za Simba na Yanga hautoi tafsiri ya uwepo wa kibonde.
 
Hivi ukiwa shabiki wa KABWILI FC lazima uwe mwehu?

umeulizwa kuna timu iliyoifunga yanga mara nyingi kuliko simba ?
 
Kibonde ni pale huyo kibonde hajawahi kukufunga ila uwiano wa mshindi kwenye mechi za Simba na Yanga hautoi tafsiri ya uwepo wa kibonde.
Na ndio maana nikasema huu ndio ukweli mchungu ambao hakuna Mwanasimba yeyote anatamani kuusikia
 
Sasa ukweli gani tena unazungumzia wakati nimeshakwambia hakuna dhana ya ukibonde na kwamba hakuna timu iliyowahi kumfunga Yanga mara nyingi zaidi ya Simba?
 
Wananchi wa 🇹🇿 💚💛 tunasubiria furaha tu. 💪
Kuna shabiki mmoja wa Yanga alisema
"Uwanja atakaocheza simba, Yanga ikicheza atashinda kwasabb Simba ni wachawi"
Leo nataka nithibitishe kama kweli Yanga ikicheza kwa mkapa ndiyo inashinda tu tena baada ya kucheza Simba Ila ikiwa nje ambako Simba haipo hawawezi kushinda.
Mechi ya away Yanga alishinda moja tu baada ya kumfunga Africans club.
 
Na ndio maana nikasema huu ndio ukweli mchungu ambao hakuna Mwanasimba yeyote anatamani kuusikia
Kuna shabiki mmoja wa Yanga alisema
"Uwanja atakaocheza simba, Yanga ikicheza atashinda kwasabb Simba ni wachawi"
Leo nataka nithibitishe kama kweli Yanga ikicheza kwa mkapa ndiyo inashinda tu tena baada ya kucheza Simba Ila ikiwa nje ambako Simba haipo hawawezi kushinda.
 
yamga wamegoma kupiga mabomu mochwari
Yanga anatembelea nyota ya Simba kwa mkapa.
Kuna shabiki mmoja wa Yanga alisema
"Uwanja atakaocheza simba, Yanga ikicheza atashinda kwasabb Simba ni wachawi"
Leo nataka nithibitishe kama kweli Yanga ikicheza kwa mkapa ndiyo inashinda tu tena baada ya kucheza Simba Ila ikiwa nje ambako Simba haipo hawawezi kushinda.
Leo nataka nithibitishe kama ni kweli
 
Back
Top Bottom