Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hiyo moja walishindaje kama hawawezi?Kuna shabiki mmoja wa Yanga alisema
"Uwanja atakaocheza simba, Yanga ikicheza atashinda kwasabb Simba ni wachawi"
Leo nataka nithibitishe kama kweli Yanga ikicheza kwa mkapa ndiyo inashinda tu tena baada ya kucheza Simba Ila ikiwa nje ambako Simba haipo hawawezi kushinda.
Mechi ya away Yanga alishinda moja tu baada ya kumfunga Africans club.