FT: CAF Confederation Cup | TP Mazembe 0-1 Yanga | Stade Tp Mazembe | 02.04.2023

FT: CAF Confederation Cup | TP Mazembe 0-1 Yanga | Stade Tp Mazembe | 02.04.2023

Kisinda πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Namna hii utopolo je wangekutana na Simba ingekua dhahama hapo hapo kwao
Kijana mbona msahaulifu namna hii
86688-2e92faba11b79e9fa0136b94cb6dc4cd.jpg
 
Aisee...
πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Mazembe mbele ya Rais wao wanacheza hivi, asipokuwepo je?
 
Weka akiba ya maneno mpira una dunda....dakk 90 ziki fikia tamati ruksa kusema chochote...

SIMBA GUVU MOYA [emoji881]
Sisi sio Simba bwana, ushindi wetu huko kimataifa sio wa kubahatisha, tunakupiga huku tukikutawala
 
Back
Top Bottom