FT: CAF Confederation Cup | TP Mazembe 0-1 Yanga | Stade Tp Mazembe | 02.04.2023

FT: CAF Confederation Cup | TP Mazembe 0-1 Yanga | Stade Tp Mazembe | 02.04.2023

Kwani kuna mtu aliyekuita? Kama hauna muda si ufanye yako kwani umelazimishwa na nani kufungua uzi. Una stress zilizopitiliza, hasira unaziamishia kwa Yanga. Pole sana
Unaweza kupita barabarani ukakutana na mtu usiyekuwa na mpango nae, ndicho kilichonitokea nilivyozama kwenye hili jukwaa, msininunie na kombe lenu la mbuzi🫣🫣
 
Nyieee msikute huko mbinguni yanga ni kikundi cha Comedy [emoji23]
 
Back
Top Bottom