Hiyo moja walishindaje kama hawawezi?Kuna shabiki mmoja wa Yanga alisema
"Uwanja atakaocheza simba, Yanga ikicheza atashinda kwasabb Simba ni wachawi"
Leo nataka nithibitishe kama kweli Yanga ikicheza kwa mkapa ndiyo inashinda tu tena baada ya kucheza Simba Ila ikiwa nje ambako Simba haipo hawawezi kushinda.
Mechi ya away Yanga alishinda moja tu baada ya kumfunga Africans club.
Vipi, kwani mko wapi? Au mmezuiwa kufanya KABWILI huko?Yanga leo hatupo mchezoni.....
Wanachomolewa mwiko huko nyumayanga wamegoma kupiga mabomu mochwari
Utopolo mpo Wapi Leo.?Yanga leo hatupo mchezoni.....
Hapo ni kuchomoa mwiko nyuma na kupiga bao tuMazembe wamebadilika sana kipindi cha pili na wanaoneka wanataka bao la uongozi
ni wakuvumilia tuh,alafu tumesha wakanya si watani zao tuna ila hawakomi watani zao ni kina polisi na ihefuYanga anatembelea nyota ya Simba kwa mkapa.
Kuna shabiki mmoja wa Yanga alisema
"Uwanja atakaocheza simba, Yanga ikicheza atashinda kwasabb Simba ni wachawi"
Leo nataka nithibitishe kama kweli Yanga ikicheza kwa mkapa ndiyo inashinda tu tena baada ya kucheza Simba Ila ikiwa nje ambako Simba haipo hawawezi kushinda.
Leo nataka nithibitishe kama ni kweli
Baada ya kupewa nyota moja na Simba.Hiyo moja walishindaje kama hawawezi?
kuna shabiki wa utopolo apa banda umiza anarukaruka kama tumbiliWanachomolewa mwiko huko nyuma
Mambo yanabadilika mkuu, Yanga kwa sasa ndio timu tishio duniani, hata Arsenal na Bayern Munich wanaelewaHawa mazembe wamekua wazembe kweli kweli
Sema astaghfirllah mkuu,, mazembe hamna timu hapoHii yanga ya mwaka huu inawezachukua kombe la shirikisho
[emoji23][emoji23]Kisinda Wa Nini Tena?