FT: CAF Confederation Cup | TP Mazembe 0-1 Yanga | Stade Tp Mazembe | 02.04.2023

FT: CAF Confederation Cup | TP Mazembe 0-1 Yanga | Stade Tp Mazembe | 02.04.2023

Yaani kumfunga kibonde kama Tp mazembe ni mpaka awe pungufu [emoji23]
 
Unatuletea updates za kombe la mbuzi halafu unatuambia stay tuned!, nani ana muda huo[emoji41][emoji41][emoji41]
Tulisha mteketeza kunguru wa Lumbumbashi huko,tumewaachia mji wao wasafi kabisa🤸🤸
 
Yaani kumfunga kibonde kama Tp mazembe ni mpaka awe pungufu [emoji23]
Wewe utakuwa ni chiz.i.

Goli limefungwa dk ya 63, mchezaji wa TP Mazembe kapewa kadi dakika ya 90, sasa wewe si unaonekana ni chiz.i.
Screenshot_20230402-190621_FotMob.jpg


Screenshot_20230402-190626_FotMob.jpg
 
Hongereni wananchi, najua Kolo Fc wanaumia sana.
 
Aggregate maana yake nini wewe mbumbumbu? shikamoo mzee Rage
Unataka tubishane na hili? Kiufupi aggregate inatumika kwenye hatua za mtoano unless unataka kufosi jambo lako.

Mkikosaga hoja mnaokoteza okoteza vihoja ili tu mpate cha kusema.
 
Back
Top Bottom