FT: CAF Super Cup Final | Al Ahly 0 - 1 USM Algier

Jina la timu halihusiani na ubora wa msimu uliopita na msimu wa sasa hivi.

Hapa nazungumzia ubora zizingumzii jina

Watu hatujaji ubora kwa kuangalia tu idadi ya wachezaji wapya waliocheza.

Tunasema ni bora kwa kuangalia performance tena dhidi ya timu bora.
 
Wamepata goli ngapi kutokana na hayo mabadiliko
 
Unahangaika sana na hii ndio shida ya Wanafiki. Haya tunasubiri mtakavyomfunga Aly Ahly na kumtoa maana hata nyie mmefanya mabadiliko ya wachezaji wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Nimemsikia Mtangazaji akikumbuka young Africans .
2. Kuna wale wasio jua mpira wanaosema cafcc ni kombe la ma losers sasa Leo wameona muziki wake !
3. 1993 Bingwa wa caf cup hakucheza super cup match Bali Bingwa wa kombe la washindi ndiyo alicheza
 
USMA ya msimu uliopita ni tofauti kabisa na USMA ya msimu huu!! USMA ya msimu uliopita ni vibonde wa kutupwa!! Lakini pia AL Ahly hawakuichukulia serious mechi hii, wametunza nguvu kukutana na "unyama mwingi"
 
Hilo ni kombe la ma losers wala siyo siri!! Kwani haujui kuwa yanga aliingia huko baada ya ku-lose caf champions cup? Hakuna namna unavyoweza kulipamba kombe hilo!! Ni mkwa ajili ya losers walioshindwa ku-qualify kwenye mashindano ya mabingwa afrika!!
 
Punguza wivu na chuki
 
1. Nimemsikia Mtangazaji akikumbuka young Africans .
2. Kuna wale wasio jua mpira wanaosema cafcc ni kombe la ma losers sasa Leo wameona muziki wake !
3. 1993 Bingwa wa caf cup hakucheza super cup match Bali Bingwa wa kombe la washindi ndiyo alicheza
Huko redio mbao unajiita nani?
 
USMA ya msimu uliopita ni tofauti kabisa na USMA ya msimu huu!! USMA ya msimu uliopita ni vibonde wa kutupwa!! Lakini pia AL Ahly hawakuichukulia serious mechi hii, wametunza nguvu kukutana na "unyama mwingi"
Bora kukaa kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…