FT: CAF Super Cup Final | Al Ahly 0 - 1 USM Algier

FT: CAF Super Cup Final | Al Ahly 0 - 1 USM Algier

Kwahiyo hawa wa leo wanaitwa timu gani na waliocheza na Yanga fainali wanaitwa timu gani?

Mabadiliko ya wachezaji watano haiwezi kuwa kipimo cha kusema timu imeongezeka ubora kwani wewe ndiye kocha wa USMA kiasi kwamba unajua hadi mantiki ya kuwapumzusha hao wachezaji wengine ni kipi?

Je una kipimo cha kuweza kupima athari ya hao watano waliopumzika leo wangecheza kingetokea nini? Kama unacho hiko kipimo niambie ni kipimo gani? Na SI unit yake ni nini?
Jina la timu halihusiani na ubora wa msimu uliopita na msimu wa sasa hivi.

Hapa nazungumzia ubora zizingumzii jina

Watu hatujaji ubora kwa kuangalia tu idadi ya wachezaji wapya waliocheza.

Tunasema ni bora kwa kuangalia performance tena dhidi ya timu bora.
 
USM Algier waliocheza na Yanga sio hawa waliocheza na Al Ahly

Kuna mabadiliko ya wachezaji wa tano kwenye kikosi

Hayo mabadiliko sio madogo

Na hayo mabadiliko yamechukua nafasi kubwa kwenye forward line maana yake hilo ndio eneo lililokuwa na udhaifu kwa msimu uliopita.
Wamepata goli ngapi kutokana na hayo mabadiliko
 
Jina la timu halihusiani na ubora wa msimu uliopita na msimu wa sasa hivi.

Hapa nazungumzia ubora zizingumzii jina

Watu hatujaji ubora kwa kuangalia tu idadi ya wachezaji wapya waliocheza.

Tunasema ni bora kwa kuangalia performance tena dhidi ya timu bora.
Unahangaika sana na hii ndio shida ya Wanafiki. Haya tunasubiri mtakavyomfunga Aly Ahly na kumtoa maana hata nyie mmefanya mabadiliko ya wachezaji wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Nimemsikia Mtangazaji akikumbuka young Africans .
2. Kuna wale wasio jua mpira wanaosema cafcc ni kombe la ma losers sasa Leo wameona muziki wake !
3. 1993 Bingwa wa caf cup hakucheza super cup match Bali Bingwa wa kombe la washindi ndiyo alicheza
 
'Nafasi ya tatu wanang'ang'ania' kwani hao Uto ndio walioandaa hizo rank?
USMA kusumbuana na Al Ahly ni credit kwa Yanga kwasababu inaonesha kweli fainali alicheza na timu bora na hata kumfunga USMA nyumbani kwake ni kipimo bora kwa Yanga kwamba kamfunga timu iliyobora na sasa ndiye kidume cha mashindano yote ya CAF huyo.

Tuje sasa kwenye ishu ya rank maana imewatoa watu mapovu leo lakini kipindi Simba anawekwa kwenye ubora kumzidi Sevilla hamkuwa mnahoji.

Ipo hivi,. IFFHS inajihususha na namba pekee na ndio maana wanaitwa international federation of football history and statistics, wao wana deal na overall performance ya timu katika michuano yote anayoshiriki ( michezo ya kitaifa na kimataifa) kisha wana record kila kitu kwanzia magoli ya kufunga, idadi ya magoli ya kufungwa, idadi za clean sheet, idadi ya michezo uliyoshinda, n.k wanachukua kila data inayohusiana na performance kisha vinawekwa katika asilimia ndipo unaona mwisho wa siku wanaweka rank na point. USMA kafanya vizuri kwa kuchukua kombe la shirikisho lakini je kwenye hilo kombe la shirikisho anatakwimu nzuri kuizidi Yanga? Na vipi katika mashindano ya ndani je ana takwimu bora kumzidi Yanga?
USMA ya msimu uliopita ni tofauti kabisa na USMA ya msimu huu!! USMA ya msimu uliopita ni vibonde wa kutupwa!! Lakini pia AL Ahly hawakuichukulia serious mechi hii, wametunza nguvu kukutana na "unyama mwingi"
 
1. Nimemsikia Mtangazaji akikumbuka young Africans .
2. Kuna wale wasio jua mpira wanaosema cafcc ni kombe la ma losers sasa Leo wameona muziki wake !
3. 1993 Bingwa wa caf cup hakucheza super cup match Bali Bingwa wa kombe la washindi ndiyo alicheza
Hilo ni kombe la ma losers wala siyo siri!! Kwani haujui kuwa yanga aliingia huko baada ya ku-lose caf champions cup? Hakuna namna unavyoweza kulipamba kombe hilo!! Ni mkwa ajili ya losers walioshindwa ku-qualify kwenye mashindano ya mabingwa afrika!!
 
Punguza wivu na chuki
 
1. Nimemsikia Mtangazaji akikumbuka young Africans .
2. Kuna wale wasio jua mpira wanaosema cafcc ni kombe la ma losers sasa Leo wameona muziki wake !
3. 1993 Bingwa wa caf cup hakucheza super cup match Bali Bingwa wa kombe la washindi ndiyo alicheza
Huko redio mbao unajiita nani?
 
USMA ya msimu uliopita ni tofauti kabisa na USMA ya msimu huu!! USMA ya msimu uliopita ni vibonde wa kutupwa!! Lakini pia AL Ahly hawakuichukulia serious mechi hii, wametunza nguvu kukutana na "unyama mwingi"
Bora kukaa kimya
 
Back
Top Bottom