FT: CAF Super Cup Final | Al Ahly 0 - 1 USM Algier

FT: CAF Super Cup Final | Al Ahly 0 - 1 USM Algier

Dakika ya 41 USM Algier wanaenda kupiga penati ya adhabu

Nyuma ya mpira ni Belaid namba 4 mgongoni

Goooooooooooal
 
Mshindi wa Ligi ya mabingwa pamoja na Mshindi wa kombe la shirikisho leo wanakutana kucheza fainali

Mpira ni saa 21:00 yani umeanza dakika tatu zilizopita

Tutakuwa pamoja hapa kujuzana yatayojiri
Al Ahyl anarukatuka tu
 
Dakika 5 zimeongezwa
 
Al Ahly nao wanapata freekick

Mpira unapigwa.....Offside
 
Al Ahly wamekoswa tena hapa
 
Mkuu Scars vipi al ahly moto wake anaonekanaje sisi ssc tunaweza kupata matokeo kwa mkapa?
 
Back
Top Bottom