Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 1,426
- 2,845
Hatari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah kweliNadhani kwasababu ya factor ya neutral ground
Al Ahyl anarukatuka tuMshindi wa Ligi ya mabingwa pamoja na Mshindi wa kombe la shirikisho leo wanakutana kucheza fainali
Mpira ni saa 21:00 yani umeanza dakika tatu zilizopita
Tutakuwa pamoja hapa kujuzana yatayojiri
Hawana cha kupotezaAlger wamejipanga ni wakali kama Mamba
Wapambane wapate goli mbili,regardless washinde au washindweSasa Al Ahly wamechafukwa