Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh huyo jamaa hafai tusubiri kupambana na hali yetu tu.Dakika za mwishoni Al Ahly amekuwa wamoto sana kapiga mpira mkubwa mno
Ndio ni mashindano ya vibonde kwani unafikiri tutabidili kauli?Tukumbuke tu kuwa huyu USMA ndiye bingwa wa mashindano ya vibonde watu waliidharau sana timu zinazoshiriki kombe la shirikisho kuwa hazina ubora ni timu dhaifu. Tunaendelea kuona vipimo hapa, super cup ya msimu uliopita ilienda kwa bingwa wa vibonde ( bingwa wa CAF confederation cup)
Ni jukumu la kocha, by the way wana kikosi kipanaPercy Tau yupo kwenye mbao
Mtakufa wakiwa na hasira, mtakufa wakiwa hawana hasira. Hakuna cha kuwaokoa makolo kwa Al Ahly!Tuombee Al Ahly washinde, watakuja na hasira AFL watatuua
Huyu kocha fala yaani unamweka Percy kwa mechi ngumu kama hii....... pamoja wametawala mpira ila wakiwekwa la pili USM watakuwa washamaliza mechi.Yupo kwenye mbao View attachment 2750484
Yanga kafikaje hapa, tuongee timu yetuUsiwe na wasiwasi Yanga haitoshiriki