FT: CAF Super Cup Final | Al Ahly 0 - 1 USM Algier

FT: CAF Super Cup Final | Al Ahly 0 - 1 USM Algier

Takwimu za kipindi cha kwanza

Mashuti yaliyolenga lango Al Ahly wamepiga 3 wakati USM Algier 4

Faulo Al Ahly wamecheza 7 wakati USM Algier 4

Kadi ya njano ni moja kwa moja

Umiliki wa mpira Al Ahly 56% wakati USM Algier 44%
 
Tukumbuke tu kuwa huyu USMA ndiye bingwa wa mashindano ya vibonde watu waliidharau sana timu zinazoshiriki kombe la shirikisho kuwa hazina ubora ni timu dhaifu. Tunaendelea kuona vipimo hapa, super cup ya msimu uliopita ilienda kwa bingwa wa vibonde ( bingwa wa CAF confederation cup)
 
Ndio ni mashindano ya vibonde kwani unafikiri tutabidili kauli?

Unafikiri kibonde hana bahati?
 
Percy majeruhi?
Yupo kwenye mbao
Screenshot_20230915-221239.png
 
Tuombee Al Ahly washinde, watakuja na hasira AFL watatuua
Mtakufa wakiwa na hasira, mtakufa wakiwa hawana hasira. Hakuna cha kuwaokoa makolo kwa Al Ahly!

Hicho kikombe hakiepukiki!

[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Tuombee Al Ahly washinde, watakuja na hasira AFL watatuua
 
USM Algier wanakabia katikati
 
Huyu kocha fala yaani unamweka Percy kwa mechi ngumu kama hii....... pamoja wametawala mpira ila wakiwekwa la pili USM watakuwa washamaliza mechi.
Hii sio mechi ngumu ni USM Algier tun amekamia
 
Back
Top Bottom