Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fainali kaka kila mchezaji anakaza na ndio maana Ureno alipoteza kombe la Uero kwenye ardhi yake na alipigwa goli moja.Hii sio mechi ngumu ni USM Algier tun amekamia
Na kipa wao yupo vizuri sanaAlger wamejipanga ni wakali kama Mamba
Nimeangalia kile kikosi kilichocheza na nyie na hiki kinachocheza na Al Ahly nimeona kuna rotaion imefanyika kwa USM Algier ya wachezaji kama 5 hivjFainali kaka kila mchezaji anakaza na ndio maana Ureno alipoteza kombe la Uero kwenye ardhi yake na alipigwa goli moja.
Ujinga kama huu ufanye kwenye ligi au makombe yasio na hadhi, fainali ina hadhi yake.
Alisikika shabiki wa kolokwinyo anayejua mchezo wa mdako pekeeUTOPOLO angepigwa 10 hapa
Point yako ni ipi?Nimeangalia kile kikosi kilichocheza na nyie na hiki kinachocheza na Al Ahly nimeona kuna rotaion imefanyika kwa USM Algier ya wachezaji kama 5 hivj
Hiki ndio kikosi kinachocheza muda huu
View attachment 2750492
Hiki ndio kikosi kilichocheza na nyie mechi ya mwisho
Hawa ndio wachezaji walioongezeka
Lamara, Benzanza, Tumisang, Fattouhi, Belkacmi
View attachment 2750495
Hakuna bahati hapo yaani misimu miwili mfululizo bingwa anatokea upande wa shirikisho.Ndio ni mashindano ya vibonde kwani unafikiri tutabidili kauli?
Unafikiri kibonde hana bahati?
Ni kweli USMA wameamua kuidharau hii mechi, sijajua kwanini.90% Rotation imefanyika kwenye eneo la mbele
Maanake shirikisho pia kuna timu ngumu na nzuri ambazo zinaweza kuzifunga timu zilizopo klabu bingwa.Sasa kutokea shirikisho maana yake michuano ya shirikisho ni bora kuliko Club bingwa?