FT: CAF Super Cup Final | Al Ahly 0 - 1 USM Algier

FT: CAF Super Cup Final | Al Ahly 0 - 1 USM Algier

Maanake shirikisho pia kuna timu ngumu na nzuri ambazo zinaweza kuzifunga timu zilizopo klabu bingwa.
Hiyo sio maana

Maana yake ni kwamba ili ziweze kuifunga ni mpaka ziondoe wachezaji mizigo na kusajili wachezaji wazuri
 
Hii mechi zinatakiwa ziongezwe dk 15.Siku hizi EPL mechi nyingi dk 8.
 
Alisikika shabiki wa kolokwinyo anayejua mchezo wa mdako pekeeView attachment 2750509

6b4dd9e1-8da0-4038-9235-a01d9988e06e.jpg
 
Maana yake USM aliona eneo la mbele ndio lililokuwa bovu ila kutokana na kwamba walicheza na vibonde hawakuona tatizo
Hiyo maana umeitoa wewe, na mimi nimetoa maana yangu hivyo wote tunatumia nadharia lakini ukweli anaujua kocha mwenyewe.
 
90+3

Mohsen kapokea kadi ya njano
 
Hiyo maana umeitoa wewe, na mimi nimetoa maana yangu hivyo wote tunatumia nadharia lakini ukweli anaujua kocha mwenyewe.
Maana yako sio sahihi yani loser tournament iwe tough kuliko Club Bingwa, wapi na wapi mzee?
 
USM ALGER CHAMA LANGU HILI KBSA HUKO MITAA YA ALGERS WIKI HII NI SHEREHE [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Al Ahly wamekuwa watumwa yani wanawaokotea mipira USM Algier
 
Wakati zimebaki sekunde tu Al Ahly walipata nafasi ya dhahabu lakini kipa amekuwa mkatili
 
Al Ahly wanakoswa bao la pili hapa
 
Naaaam mpira umekwishaaa
 
Kituko ni kwamba, utakuta uto wanang'ang'ania kuwa nafasi ya tatu Afrika mbele ya USMA ambaye alibeba kombe mbele yao na sasa anasumbuana na Ahly hapa.

Kinachochekesha zaidi kigezo kikubwa wanachotumia kung'ang'ana kuwa juu ya USMA ni medali na kwamba USMA hawakustahili kombe ila wao.
 
Lkn hao hao si ndio walio ndaa hizo chati mwaka ulipita na mwaka huu,why useme mwaka huu wamepwiyanga ila miaka ya nyuma wamepatia, maana humu kuna thread mbili za Okwi za nyuma alipost rank kutoka kwenye source hiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom