Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
- Thread starter
-
- #241
Hesgoal TV - Free Live Sports Stream cheki hapo ni unyamaLink
Hahahaaa. Sawa Mtani.Ngoja kwanza tutakamatana baada ya dakika 15 za mwanzo tuone dua ya nani imepokelewa.
Dua ya jua kwa ajili ya kuwakomoa wenzenu hiyo tayari tushaona imekataliwa.
Imebaki dua moja tu mpaka sasa